SmartBiashara Pos imeundwa kukupa uhuru wa kusimamia biashara yako bila mipaka. Data zako zinasawazishwa (Sync) moja kwa moja ili uwe na udhibiti kamili popote ulipo.
Dhibiti biashara yako ukiwa popote. Inasupport scanning, ripoti za mauzo, na AI intelligence moja kwa moja kwenye simu yako.
Toleo rasmi la Cashier. Ni bora kwa matumizi ya duka, inasupport risiti za thermal na barcode scanners kwa haraka.
Fuatilia ripoti zako kupitia browser bila kuhitaji kupakua chochote.
Open Web Portal
Wateja Walioridhika
Miamala kwa Siku
Msaada kwa Wateja
Kila unachohitaji kusimamia biashara yako kipo sehemu moja.
Tengeneza na chapisha barcode. Scan ukitumia simu au mashine kufanya mauzo (POS) kwa sekunde chache.
Pata ripoti ya mauzo, faida na hasara kupitia WhatsApp kila siku. Tuma risiti na invoices kwa wateja moja kwa moja.
Simamia madeni ya wateja. Mfumo unakumbusha madeni yenyewe kila siku kwa wateja kupitia WhatsApp au SMS.
Kusimamia stoo yako kwa usahihi. Mfumo unakutaarifu (Alert) mapema bidhaa zinapokaribia kuisha stoo.
Rahisisha malipo kwa kutengeneza Control Numbers kwa ajili ya miamala ya kiserikali na ufuatiliaji wa malipo.
Kusimamia matawi (branches) zaidi ya moja kwenye akaunti moja. Jua duka gani linafanya vizuri ukiwa popote.
Tengeneza Invoice na Proforma kwa muonekano wa kitaalamu kwa ajili ya makampuni na wateja wakubwa.
Pata muhtasari wa mienendo ya biashara yako. Jua ni bidhaa gani inatoka zaidi na gani inaleta hasara.
Data zako zimehifadhiwa kwenye Cloud kwa usalama wa 100%. Hutapoteza kumbukumbu hata simu ikipotea.
Usiishie kuuza mtaani tu. Mfumo wetu unakusaidia kuziandaa bidhaa zako kwa ajili ya maduka makubwa (Modern Trade).
Angalia jinsi mfumo unavyoonekana ukiwa kwenye vifaa tofauti
Mfumo wetu umeratibiwa kukuunganisha na wateja wako kwa sekunde. Wateja wanapokea risiti za kidijitali WhatsApp na wewe unapata ripoti yako ya jioni kiganjani.
Jaribu Mfumo Sasa
Chagua kifurushi kinachokufaa kulingana na mahitaji yako ya usimamizi
Bado una swali ambalo halipo hapa?
Tuulize WhatsApp"Tangu nimeanza kutumia mfumo huu wa SmartBiashara, nimepunguza upotevu wa bidhaa dukani kwangu kwa asilimia kubwa sana. Ripoti za WhatsApp zinanisaidia kujua mauzo hata nikiwa mbali."
"Mfumo huu ni rahisi sana kutumia, hata wafanyakazi wangu walizoea ndani ya siku moja tu. Huduma kwa wateja (support) ya Ephamarcy Software ni ya kiwango cha juu sana."
"Nilitafuta mfumo unaoweza kusimamia matawi yangu yote mawili kwa wakati mmoja bila usumbufu, SmartBiashara imetatua hilo. Sasa naona ripoti za kila tawi kwa simu yangu."